• +(255) 653 649 429
  • P.O.Box 94, MBINGA, RUVUMA, TANZANIA

Single Event

Home / Single Event Details

KUANZA KWA MWAKA MPYA WA MASOMO 2025/2026


Upcoming Event Date:

2025-10-15


Posted on:

2025-09-18 04:57:34


Comment:

Coming Soon!


Habari, Tunawapongeza wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga na CHUO CHA AFYA LITEMBO (LIHETI) kwa mwaka wa masomo 2025/2026, tunawakaribisha sana chuoni. Pia tunawataarifu kuwa muhula mpya wa masomo utaanza mwezi wa 10 ambapo, wanafunzi wanaokuja kuanza (First year students) watatakiwa kufika chuoni tarehe 15-10-2025 wakati wale waaoendelea (Continuing students) watatakiwa kufika chuoni tarehe 03-11-2025. NB: Wanafunzi wote wanatakiwa kufika chuoni tarehe iliyopangwa bila kukosa.