• +(255) 653 649 429
  • P.O.Box 94, MBINGA, RUVUMA, TANZANIA

Single Event

Home / Single Event Details

MAHAFALI YA KWANZA YA CHUO CHA AFYA LITEMBO (1st GRADUATION CEREMONY)


Upcoming Event Date:

2026-08-02


Posted on:

2026-07-14 08:16:33


Comment:

Coming Soon!


Chuo Cha Afya Litembo kinatarajia kufanya sherehe ya mahafali ya kwanza toka kuanzishwa kwa chuo hicho mwaka 2023. Sherehe hizo zitafanyika katika viwanja vya Chuo Cha Afya Litembo tarehe 02.08.2026 kuanzia saa 09:00 Asubuhi. NYOTE MNAKARIBISHWA Litembo Health Training Institute is pleased to announce its First Graduation Ceremony since the establishment of the Institution in 2023. The ceremony will be held at the Litembo Health Training Institute Grounds on 2 August 2026, starting at 9:00 a