• +(255) 653 649 429
  • P.O.Box 94, MBINGA, RUVUMA, TANZANIA

Single Event

Home / Single Event Details

KUANZA KWA MWAKA MPYA WA MASOMO 2026 - 2027


Upcoming Event Date:

2026-10-12


Posted on:

2026-10-06 11:29:20


Comment:

Coming Soon!


Chuo cha afya Litembo kinapenda kuwatangazia wanafunzi wote kuwa mwaka mpya wa masomo unatarajia kuanza tarehe 12/10/2026. Hivyo basi wanafunzi wote wanaotarajia kuanza mwaka wa kwanza wanatakiwa kuripoti chuoni tarehe 12/10/2026 kuanzia saa 02:00 Asubuhi mpaka saa 10:00 Jioni. Kwa wale wanaoendelea (Mwaka wa pili na Tatu) wanatakiwa kuripoti chuoni tarehe 18/10/2026. Wanafunzi wote mnakumbushwa kuzingatia maelekezo muhimu na taratibu zote kama fomu ya maelekezo inavyoainisha au piga simu namb